Tumshauri Kijana mahusiano yamemvuruga sana kaathirika kisaikolojia

Wanasema both teams to score.
 
Umenena uKweli kabisa,
Jamaa mzinguaji, binti nae mzinguaji
 
Wanamatukio yao ya kikatili Sana,
Afu wanajua Kupiga Kimya,mpk umstukie ushalia kilio Cha kusaga meno
Mtume Paulo alituusia kwenye maandiko Yake kwamba wanawake tuishi nao kwa akili.
Tatizo sisi wanaume Kuna muda huwa tujasahau Sana tukishakolea kwenye penzi la hawa viumbe na hapo ndipo wanapouvaa uhusika wa DELILAH.
 
Psychology torture haiponi au hawezi kuiondoa kwa siku moja .

Kikubwa mueleze akubali amepoteza vingi ila maisha hayajafika mwisho hivyo aendelee kujipambania .

Ila kikubwa kuhusu mapenzi usimshauri kitu fanya kama umeignore kumpa ushauri upande huo kwasababu kadri siku zinavyoenda atapona majeraha na atapenda tena .

Ni hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…