Alihaha huku na kule kutafuta wawekezaji au washirika wa biashara zake na kuhakikisha anauza maeneo mengi ya nchi na Kuwa na maeneo makubwa ya mashamba yake na riz 2
Hapo tutamkumbuka sana au hutaki???
Kukua kwa demokrasia nchini, mtandao mpana wa barabara, ujenzi wa daraja la kigamboni, kujengwa daraja la malagalasi, kujenga barabara ya mabasi yaendayo haraka dar es salaam, kuboresha bandari, kujenga shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata, kujenga zahanati kila kijiji, kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya nchini, kuchimba gesi, n.k kunaonesha utashi wa JK mdogo kutaka kufuata nyayo za JK mkubwa. Ila alikumbana na matatizo mengi yaliyotokana na siasa za watangulizi wake akina Nyerere, Mwinyi na Mkapa za umaskini, ujinga na maradhi. Alikuta kilimo, reli, barabara, ndege, viwanda, elimu, na afya vyote vimekufa. Hata maisha ya wanajeshi wetu na polisi yalikuwa chini sana, walimu wanadai, n.k angefanya nini kwa miaka 10 yake? hebu tumpongezeni huyu mtu. Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kumsifu JK hata siku moja, lakini nilitafakari nikaona kuwa huyu mtu kuna kitu kikubwa kalifanyia taifa ambacho sisi hatukioni, lakini wenzetu wa nje wanakiona. Tukutane taifa tumpongeze kwa ahadi kuwa anamalizia kazi yake kwa kutuachia kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na sio mizengwe. Kwenye uchaguzi huu yeye awe kama baba mdogo wa taifa, sio matusi kama ya Mkapa, awaache wagombea na wapambe wake watifuane majukwaani, yeye abaki kuwa kimbilio la wote.
Hata kama kuna wizi kwenye miradi hiyo watakuwa watanzania wenzetu waliopiga hela hiyo. Sasa Jakaya angepata wapi watendaji waadilifu? Angeleta waholanzi, wachina, wafaranza kukusanya kodi na kusimamia ujenzi wa barabara tungepiga kelele hadi tuanguke kifafa. JK kaunda TAKUKURU, kaongeza majaji, kaongeza polisi lakini wote hawafanyi kazi. Sasa yeye angefwanyeje? awe dikteta kama Kagame?Hivi deni la taifa limefika shilingi ngapi vile? na gharama ya hiyo miradi uliyotaja ni shilingi ngapi tena? mimi sijabobea katika hisabati naomba unisaidie
Hata kama kuna wizi kwenye miradi hiyo watakuwa watanzania wenzetu waliopiga hela hiyo. Sasa Jakaya angepata wapi watendaji waadilifu? Angeleta waholanzi, wachina, wafaranza kukusanya kodi na kusimamia ujenzi wa barabara tungepiga kelele hadi tuanguke kifafa. JK kaunda TAKUKURU, kaongeza majaji, kaongeza polisi lakini wote hawafanyi kazi. Sasa yeye angefwanyeje? awe dikteta kama Kagame?
Hatuna muda mrefu tutautambua umuhimu wa Jakaya kikwete
Kukua kwa demokrasia nchini, mtandao mpana wa barabara, ujenzi wa daraja la kigamboni, kujengwa daraja la malagalasi, kujenga barabara ya mabasi yaendayo haraka dar es salaam, kuboresha bandari, kujenga shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata, kujenga zahanati kila kijiji, kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya nchini, kuchimba gesi, n.k kunaonesha utashi wa JK mdogo kutaka kufuata nyayo za JK mkubwa. Ila alikumbana na matatizo mengi yaliyotokana na siasa za watangulizi wake akina Nyerere, Mwinyi na Mkapa za umaskini, ujinga na maradhi. Alikuta kilimo, reli, barabara, ndege, viwanda, elimu, na afya vyote vimekufa. Hata maisha ya wanajeshi wetu na polisi yalikuwa chini sana, walimu wanadai, n.k angefanya nini kwa miaka 10 yake? hebu tumpongezeni huyu mtu. Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kumsifu JK hata siku moja, lakini nilitafakari nikaona kuwa huyu mtu kuna kitu kikubwa kalifanyia taifa ambacho sisi hatukioni, lakini wenzetu wa nje wanakiona. Tukutane taifa tumpongeze kwa ahadi kuwa anamalizia kazi yake kwa kutuachia kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na sio mizengwe. Kwenye uchaguzi huu yeye awe kama baba mdogo wa taifa, sio matusi kama ya Mkapa, awaache wagombea na wapambe wao watifuane majukwaani, yeye abaki kuwa kimbilio la wote, awe hazina ya wote, awe source of wisdom, awe chaguo la wapenda haki na ukweli. Wazungu sio wehu kumtunuku JK PhD za heshima, kwanini hawakumtunuku mzee Mwinyi na Mkapa, Salmin na Shein?
Hiyo ni kazi ya polisi, takukuru, DPP, mahakama na wananchi. Wewe ulitaka rais ndo awakamate wahalifu? Tuwalaumu polisi, takukuru, DPP, majaji na sisi wananchi wenyewe kwa kunyamazia uhalifu.Ni watendaji wangapi wa JK wamefungwa gerezani hadi sasa kwa wizi wa pesa za miradi ya serekali hadi sasa?hata wale waliokamatwa ready handed wako mtaani wanapeta na uongozi wanagombea.nitajie watendaji waandamizi waliofungwa ama hata kupelekwa mahakamani kwa wizi wa fedha za miradi ya serikali zaidi ya sababu za kisiasa.JK hawezi kukwepa lawana jamani tuwe wakweli tu.maana wananchi walimuamini yeye na yeye akaajiri watendaji wake ambao hawana mikataba na wananchi kama JK alivyo na mkataba na wapiga kura wake
Kukua kwa demokrasia nchini, mtandao mpana wa barabara, ujenzi wa daraja la kigamboni, kujengwa daraja la malagalasi, kujenga barabara ya mabasi yaendayo haraka dar es salaam, kuboresha bandari, kujenga shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata, kujenga zahanati kila kijiji, kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya nchini, kuchimba gesi, n.k kunaonesha utashi wa JK mdogo kutaka kufuata nyayo za JK mkubwa. Ila alikumbana na matatizo mengi yaliyotokana na siasa za watangulizi wake akina Nyerere, Mwinyi na Mkapa za umaskini, ujinga na maradhi. Alikuta kilimo, reli, barabara, ndege, viwanda, elimu, na afya vyote vimekufa. Hata maisha ya wanajeshi wetu na polisi yalikuwa chini sana, walimu wanadai, n.k angefanya nini kwa miaka 10 yake? hebu tumpongezeni huyu mtu. Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kumsifu JK hata siku moja, lakini nilitafakari nikaona kuwa huyu mtu kuna kitu kikubwa kalifanyia taifa ambacho sisi hatukioni, lakini wenzetu wa nje wanakiona. Tukutane taifa tumpongeze kwa ahadi kuwa anamalizia kazi yake kwa kutuachia kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na sio mizengwe. Kwenye uchaguzi huu yeye awe kama baba mdogo wa taifa, sio matusi kama ya Mkapa, awaache wagombea na wapambe wao watifuane majukwaani, yeye abaki kuwa kimbilio la wote, awe hazina ya wote, awe source of wisdom, awe chaguo la wapenda haki na ukweli. Wazungu sio wehu kumtunuku JK PhD za heshima, kwanini hawakumtunuku mzee Mwinyi na Mkapa, Salmin na Shein?
nchi imeozaaaa
Wahandisi, wanasheria wetu, mwanasheria mkuu, usalama wa taifa, gavana, takukuru na wataalam wa umeme walikuwa wapi wasimshauri rais kuhusu richmond? Nakwambia tatizo letu ni kubwa sana kuliko kumtaja waziri na rais. Hawa wote waliwapotosha Waziri Mkuu na Rais wake kuhusu EPA, richmond, Escrow, n.k. Tangu lini rais na waziri mkuu wakatafuta mashine za kufua umeme bila kushauriwa?Huyu aliyeamuru Richmond isainiwe???
Afu mbn Escrow hajafatilia ule mgao wa STANBIC BANK nao tujue kina nani waligawana wawajibishwe???