Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 176
- 62
Tujitahidi kuondoa serikali yenye janjajanja nyingiLissu anatosha
Umenikumbusha Yule bwana tuliambiwa alikuwa Ana anahujumu uchumi kwa kuhamisha mil. 7 kila DK, aliachiwa kwa plea bargain,
Cha kushangaza Dpp alipokea mabulungutu kwa cash. Wakati tuna utaratibu wa e- gov. Payment.
Hii serekali ya kisanii sana
Umeeleza vizuri sana mhujumu uchumiJibu ni Jiwe!
Tumpe jiwe miaka mingine mitano!
Nitaeleza sababu kwanini tumpe jiwe kura zetu kwa kipindi hiki cha 2020-2015.
1. Kutekwa kutakwisha(Sasa hivi ataua kabisa hadharani kupunguza gharama za kumsafirisha mateka kumpeleka Dodoma, safe houses)
2. Wafanyakazi waache kazi maana wanadai mishahara haitoshi(hii itapunguza tatizo la ajira, unemployed watafill vacancies zilizotemwa na wafanyakazi).
3. Mamlka ya mapato Kisutu(Kisutu revenue authority) itaongeza pato la taifa kwa kukusanya faini za kutosha kutoka kwa "wahujumu uchumi"
4. Tutaongeza kiwanja cha ndege chato, international airport.
5. Hatutaiba trillio 1.5 tena, tutachukua trillion 10 kabisa, maana CAG ni wetu sasa hivi.
6. Tutaifuta katiba, neno la jiwe (maelekezo) yataongoza nchi.
7. Vyombo vyote vya habari vitachukua habari kutoka TBC, tutaachana na BBC, voa na DW, hii itapunguza gharama
Dah mkuu umejibu kiwepesi sana ingawa nayo ni majibu.Jibu ni Jiwe!