Tumia mbinu hii ya asili kujua mtu huyu ni ndugu yako wa ukoo mmoja

We bwana niombe kwanza lazi mm huwa situkanwi hovyo matusi hukohuko mbavuu ww shennzi mkumbwa kmmk

Twende kwenye mada huo ubini unaouzungumzia,kiasilia chimbuko lake ni baba hata yeye mwanamke ana baba yake kwahy ubini wao ni huyo baba yake izo pande mbili kiuhalisia hazipo mama ni kama bank ila wewe unatafuta unaenda kuweka mambo ya kusema mbona niliweka chafu zimetoka noti mpya, haliondoi uhalisia wa kutochukua pesa yako
Lazi ya nokho! Huna uelewa pimbi wewe!
 
Kuna vitu vingi vya kuangalia kama vinafanana na havidanganyi!
Hivi mfano, Diamond ataache kufanana mdomo na watoto wake, nahisi yeye mdomo ndio kigezo cha kuangalia.
 
Super natural DNA ni kucha tu, angalia vidole gumba mkono na mguu pia vidole vya mwisho hivyo vingine sio sana lakini kucha hata awe mtoto wa siku moja utapata majibu yote.
Kitu kidogo tu kucha na viganja na mistari ya mikono
 
Yaani mwandiko wako tu unakutambulisha kabisa wewe ni hamnazo!
we bwana mbona kama umepanik ni me kuzoo kitambo nini sababu ya hiyi post kukukela je una mtoto ambaye haufanani na meno yako ni kwamba imekuuma yabidi unimalizia hasira zako, na ukijibu na hiyi pole sana nenda tu DNA ili kudhibitisha,

Una uelewa mdogo sana mdogo wang tena ulipo ujishukuru kwa kujibiwa na mtu mkubwa kama mimi na endelea kujipendekeza kwa ku quote comment zangu
 
Kuhangaika kote huko kwanini.
Tanzania ndugu ndio mtu wa kwanza kuponda maendeleo yako.
Mimi na mke wangu tu.
Sitaki ghasia kwangu
 
we bwana mbona kama umepanik ni me kuzoo kitambo nini sababu ya hiyi post kukukela je una mtoto ambaye haufanani na meno yako ni kwamba imekuuma yabidi unimalizia hasira zako, na ukijibu na hiyi pole sana nenda tu DNA ili kudhibitisha,

Una uelewa mdogo sana mdogo wang tena ulipo ujishukuru kwa kujibiwa na mtu mkubwa kama mimi na endelea kujipendekeza kwa ku quote comment zangu
Teh teh teh teh nyanyadooo!
 
Back
Top Bottom