john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
habari wakuu....leo nimeona nianzishe kauzi kanachoelezea jinsi ya kutumia blackberry kama modem kwenye kompyuta kwani utakuta mtu ana smartphone lakini bado akitaka internet ananunua modem ya 50 000tsh gharama zinazoweza epukika....kwa android ni rahisi sana just setting-wireless n networks-tethering,symbian kwa kweli sio mtaalam (labda chief-mkwawa anaweza elezea) nime-intend kuelezea blackberry ambayo ni kama ifuatavyo
1.pitia hapa udownload https://swdownloads.blackberry.com/...3BB068C22&dl=A2C0D61EB187AB3AFD247A852FAD3647
2.install kisha ifungue..nenda kwenye tools na click mobile internet setting kisha chagua profile...kama ni voda weka vodacom prepay....tigo ipo,airtel sijaiona
3.nenda tena tools kisha connect internet
kama kuna tatizo umekutana nalo usisite kuuliza
Naomba kujua hiyo app inatumia internet ipi...BIS au inakula salio
Inatumia the same internet uliyosubscribe. Kama umenunua unlimited package ya bb kwa mwezi basi simu zote na laptop huhitaji kununa bundle. Beware, inakula sana battery so ka-bb kako uweke kwenye umeme kama hauna portable charger.
Nataka kujua kama nitatumia BB plan kuunganisha kwenye mtandao au nitahitajika kujiunga na kifurushi cha mtandao kama natumia modem vile
Nadhani umenielewa dogo
Hapo mkuu unatakiwa usubscribe kifurushi kingine kama unatumia modem na hautumii bis
Ni kwa ajili ya computer ila unaweza download kupitia simu,size yake ni 113 mbJe hiyo link hapo juu una download kwenye simu au ni kwenye computer?
Hapo mkuu unatakiwa usubscribe kifurushi kingine kama unatumia modem na hautumii bis
Nataka kujua kama nitatumia BB plan kuunganisha kwenye mtandao au nitahitajika kujiunga na kifurushi cha mtandao kama natumia modem vile
Nadhani umenielewa dogo
Kumbe hata mm wa android nikijiunga kifurushi cha blackberry kwene voda o tigo yangu ntaweza kukitumia ktk pc via usb tethering...is it?
Yaani sijaelewa kuwa hujaelewa nini dogo? Whatever plan you have, function ya tathering inatumika kurusha mtandao kwenye vyombo vingine kama ipad, laptop ama simu zingine. The more the gadgets the slower the net, so you rather put a password. Kwani bb plan na mpango data nwingine zina tofauti kwenye huduma?