Uhuru na Kazi!
Nimetumiwa na rafiki yangu ktk simu, kaniuliza JE, UNAZIKUMBUKA HIZI?
- Kibanga ampiga Mkoloni
- Siku ya Gulio Katerero
- Chilunda apambana na Chui
- Ndoto za Kimweri
- Mweka nadhiri na Shetani
- Sizitaki mbichi hizi
- Brown ashika tama
- Lindu amuokoa Kapilima
- Barua kutoka kwa Mjomba Mndolwa
- Kinango na Nzige
- Wadudu wana maajabu
- Mchoyo hana rafiki
- Andunje: Ufupi si kilema
- Manenge na Mandawa
- Juma na Roza
- Mwanasesere
Unakumbuka nini enzi hizo? Wakumbushe uliosoma nao enzi hizo. Mmpe salamu Mwl. wako aliye hai.