Ndugu Zangu Em Tusaidien Hata Kwa Mawazo. Si Tulifanya Intv Serikalin Kwa Mwanasheria Mkuu Sept 29, Majib Yakatoka Oct. Barua Zetu Hazikuonesha Vituo Vya Kazi Ila Tulienda Kuriport Kwa AG. Wakatwambia Tungeitwa Wik Iliyofata, Jaman Mpaka Leoo, Tunaenda Mwez Wa 4 Sasa. Tunashindwa Kufanya Maaamuz Jaman....