fukunyuku1234
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 243
- 497
Daah,maisha hayaHuyu mtoto ameniuma sana aisee,, may her soul rest in paradise always Amen 🙏🏽
Kabisa 2 yrs old kid kweliiKiasi nimeumia juu ya huyu mtoto siwezi kueleza. Washukiwa wa huu unyama wakikamatwa polisi wafanye press tuwaone na kesi yao hadi hukumu viendeshwe kwa uwazi na liwe funzo.
Kwanza tunatakiwa kuwaona katika press wakiwa hoi kwa kipigo, unyama walioufanya hawana haki yoyote ya kiubinadamu.
Serikali na Bunge zipo bize na MpinaView attachment 3020022
Taarifa za kifo cha huyu mtoto zimeumiza mioyo yetu,mtoto wa miaka miwili kufanyiwa ukatili huu si jambo la kulifumbia macho na ilipaswa tupaze sauti tangu alipokamatwa tarehe 30/05/2024.
Uhai wa Asimwe umedhulumiwa na watu wabaya kwa sababu zao wanazozijua wenyewe lakini kama Taifa tumeshindwa kumlinda mtoto mdogo kwa hapa inabidi tujitafakari.
Ingependeza kama kungetolewa onyo kali kutoka ngazi za juu ili kukomesha mauaji haya ambayo yalipotea kwa muda isaidie kuzuia kasi yake isije ikarudi kama zamani.
Mwisho kabisa watanzania tubadilike na kuachana na hizi dhana wa kuamini mambo ya gizani na tumuogope Mungu ambae ndie muumba wa vyote.
Pumzika Asimwe
Yani kama Taifa tuna tatizo kubwa la viongozi,Mpina kawashika pabaya macho akili na masikio yote yako kwakeSerikali na Bunge zipo bize na Mpina
Baba yake ndio alikuwa master minder na yuko chini ya ulinzi ,,uchaguzi umekaribia
USSR
Daah inasikitisha sana.View attachment 3020022