mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Hatuoi umri twaoa mke. Pia uzuri wa mwanamke ni kile ulichokiona kwake weye unayeoa sisi hatutakiona. tatu umri hauandikwi usoni useme kila mtu atausoma, kama umemkubali hatuna ushauri tena.
The maturity is no the age but the acceptance of responsibility - QUOTED!!
Aisee ngoja nikomae pia wanasema sikiliza moyo sio watu wa nje
nimekudaka wewe mwizii wa akili
HAPO JUU UMESEMA SIO WEWE HAPA UNASEMA UKOMAE MXIIIIIIEEEEWWW KAMDANGANYE SHANGAZI YAKO
..unaishi wapi mtoto mdogo!!?
Sio mm nimetumiwa nikarusha hapa
Aisee ngoja nikomae pia wanasema sikiliza moyo sio watu wa nje
Sio mm nimetumiwa nikarusha hapa
Helow friends mm ni mwanaume katika pitapita za maisha nimekutana na dada mmoja tumependana sana dada mwenyewe ni mzuri kila idara. Na ninampenda yeye pia ananipenda. Lililonifanya niombe ushauri ni kwamba kanizidi miaka 5. Nilimwambia kuhusu kumuoa kakubali tafadhalini nishaurini.
Aisee ngoja nikomae pia wanasema sikiliza moyo sio watu wa nje
Kabla ya kupewa ushauri....
Lakini baada ya kupewa ushauri...teh teh teh!!!