Tumepandikizana siasa za Chuki, kukomoana,fitna na kibaguzi, hizi ripoti na madudu yake kuna watu watajuta.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Tumeanzisha siasa za kuwaona baadhi ya watanzania kua hawafai kabisa na kukosa utu hadi kuwaita mashetani tukidhani kua sisi ni malaika. Ona sasa madudu haya kwenye pesa za umma, huu ni mjadala ambao kwa sasa unaweza kua ni wingu zito lenye moshi unavuma ambao ni mgumu sana kuuzima.

Tupende tusipende, kwa chuki ambayo tumejengeana ndani ya siasa zetu kwa sasa nchini, kuna watu watasakamwa na madudu haya watajuta na hawatokaa wasahau.Wamesahau kua taifa hili lina watu zaidi ya million 50, watu wako hoi bin taabani kiuchumi,maisha yso ni magumu wasijue nini kimelikuta taifa huku wanaambiwa wavumilie leo waambiwe pesa zinaliwa au zinatumika bila u taratibu wataelewa? Pagumu hapa, tumeingia siko jamani. Hata kama ni makosa yaliyofanyika bahati mbaya au kwa nia njema lakini hapa hatoeleweka mtu.
 
Raisi magufuli nilikupenda sana ulipoingia madarakani.Niliona nchi sasa imepata raisi kumbe tumepatikana.
Umeharibu umoja na mshikamano wa watz. Umeharibu demokrasia,umeharibu uchumi.
Sijui unasubiri nini mpaka sasa hv kuachia ngazi. Hii ni nchi na sio familia yako au ukoo wenu.
Vijana inafaa tufike sehemu tuseme hapana kwa viongozi kama hawa na sio Tanzania hata Africa nzima.
Wazazi wetu ni maskini wakati nyinyi viongozi mnafaidi mema ya nchi hii sio haki mbele za Mungu na mwanadamu.
 
Oya maandamano yapo Au hayapo?
Mbowe anawala mchana kweupe bila ganzi ila Kama maiti vile hata haitikisiki. Kwa kweli chadema hakiwezi na hakifai kuwa chama mbadala. Bila chama mbadala Makini bora tuendelee na ccm tu. Nyie jikiteni kwenye propaganda, Matusi, kejeli, kugeuza maneno, kufitinisha, Nk, naona ndo sera zenu mpya hizo
 
Mbowe anakula kidogo tu si sawa na wale wa CCM wa Escrow waliopakia noti kwenye magunia kama viazi mbatata na kupeleka kusikojulikana.Baada ya kugawana wengine waliguna baada ya kunyoshewa vidole na kujibu mbona hizi ni za mboga tu,wengine walisema hivi visenti ndo mnapiga kelele.
 
Yule msaliti ndo ametupandikizia siasa za chuki, mtengano na ukabila kwa lengo la kujinufaisha kisiasa ndani ya chama chake. Mtu kama huyo hafai kabisa ndani ya taifa letu. To hell with [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG]
 
Tulipata shida mwanzoni kuelewa hizi siasa za wasukuma wawili toka chato na kolomije ingawa mmoja ni mhutu ila poa tu sasa hivi tumeelewa wanchotaka ni kuiangamiza Tanzania ,twende njia wanayotaka wao haina shida maana mazuzu ya kushangilia yako mengi
 
Oya maandamano yapo Au hayapo?
Mbowe anawala mchana kweupe bila ganzi ila Kama maiti vile hata haitikisiki. Kwa kweli chadema hakiwezi na hakifai kuwa chama mbadala. Bila chama mbadala Makini bora tuendelee na ccm tu. Nyie jikiteni kwenye propaganda, Matusi, kejeli, kugeuza maneno, kufitinisha, Nk, naona ndo sera zenu mpya hizo
Mgese kabisa ww. Hoja ipi unayojibu?
 
Tumeanzisha siasa za kuwaona baadhi ya watanzania kua hawafai kabisa na kukosa utu hadi kuwaita mashetani tukidhani kua sisi ni malaika. Ona sasa madudu haya kwenye pesa za umma, huu ni mjadala ambao kwa sasa unaweza kua ni wingu zito lenye moshi unavuma ambao ni mgumu sana kuuzima.

Tupende tusipende, kwa chuki ambayo tumejengeana ndani ya siasa zetu kwa sasa nchini, kuna watu watasakamwa na madudu haya watajuta na hawatokaa wasahau.Wamesahau kua taifa hili lina watu zaidi ya million 50, watu wako hoi bin taabani kiuchumi,maisha yso ni magumu wasijue nini kimelikuta taifa huku wanaambiwa wavumilie leo waambiwe pesa zinaliwa au zinatumika bila u taratibu wataelewa? Pagumu hapa, tumeingia siko jamani. Hata kama ni makosa yaliyofanyika bahati mbaya au kwa nia njema lakini hapa hatoeleweka mtu.
Ni ushetani kufitini vya kwenu kisa "demoghasia" na umaarufu
 
Oya maandamano yapo Au hayapo?
Mbowe anawala mchana kweupe bila ganzi ila Kama maiti vile hata haitikisiki. Kwa kweli chadema hakiwezi na hakifai kuwa chama mbadala. Bila chama mbadala Makini bora tuendelee na ccm tu. Nyie jikiteni kwenye propaganda, Matusi, kejeli, kugeuza maneno, kufitinisha, Nk, naona ndo sera zenu mpya hizo
Kwani kwenye mada hii Chadema inaingiaje?
 
Link hii unamsikia Zitto akimtaka Jiwe amuwajibishe Dotto M James kwa upotevu wa 1.5 trillions hii ya hapa chini Zitto hakusikika sijui nini kilitokea. Je jiwe litamuwajibisha mtoto was Dada au yatakuwa yale yale kama ya Bashite kwenye uvamizi wa Clouds na ufojaji wa vyeti na jina?

Kwa hali hii moyo utasimama kwa kweli.. Nakatwa kodi 470,000.. Inaniuna sana hii pesa
 
Back
Top Bottom