galus saanane
Member
- Sep 3, 2011
- 11
- 2
juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake
wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu
"JK TAFAKARI" kuwa makini.......
Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga Mbele!
Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!
Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!
Lazima tulalamike, hakuna mfugaji anayependa kutembelewa na mbwa mwitu
tatizo lako huwaga una homa za vipindi kama kipindu pindu..hutabiriki
juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake
wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu
"JK TAFAKARI" kuwa makini.......
Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!
Wewe utakua GASHO!Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi marufuku kutembelewa na wageni?
IRAQ,PALESTINA,AFGANISTAN etc.Nchi gani isiyopenda kutembelewa na Rais wa Marekani? Badala ya kufurahi mitanzania inalalamika!
Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi marufuku kutembelewa na wageni?