Tumekuwa madaraja

I couldn't say it better... well said bht...

sasa wanalalamika nini hapa? Actually men love bitches, bitches I mean women who treat them bad...

Do you have any proof to support your statement?
 
binafsi sina haja ya kutafuta demu bali nimeuliza in general. Suala la presha ni ishu ingine. Pia inategemea mtu na mtu na aina ya uhusiano uliopo, au mazingira
 
Do you have any proof to support your statement?

Well I support Noname, I have not done a research but random samples of real life relationship will do that. Infact men love women who are easy to get and those referred to by NN.
 
Well I support Noname, I have not done a research but random samples of real life relationship will do that. Infact men love women who are easy to get and those referred to by NN.

Please share with us your random samples. Ilikuwa ya wanaume 10, 100 au 1,000? Kila siku tunasikia kwa Wanaume wengi kwamba nyumba ndogo zinashamiri kutokana na huduma nzuri huko kwenye nyumba ndogo ukilinganisha na majumbani mwao. Halafu nyie mnadai Wanaume wanapenda wanawake wanaowatreat vibaya. Mambo mengine ambayo hamyajui ni bora muwaache Wanaume wenyewe tuongee badala ya kujifanya mnajua kila kitu. To love women who are easy to get is very different from loving women who treat men badly.
 
naona si soka peke yake unamudu. Hata malovee. Wape somo. Pia wanaume wanapenda wanawake wenye tabia za kimalaya hivi, si malaya. Hata mke awe na hizo quality kwa mmewe. Ila ni kwa nini hawa wanawake wapo kimaslahi zaidi?
 
pombe za nini wakati alishamuonyesha kuwa si mwaminifu tangu mwanzo,mwambie wako wengi hao atulie atapata mwingine,pia mshauri asiwe na mwanamke mmoja ajitahidi awe nao angalau wawili ili mmoja akitoka anabaki na mmoja na huku anaangalia jinsi ya kuongeza mwingine, hao ni viumbe vyetu mungu katugea
 
binadamu wanajifunza kwa makosa!
 
Mbona mimi nilisaidia sana dada mmoja mpaka akagraduate, nilikuwanakesha ili nimmfanyie mambo ili afaulu. Ni kweli baadaye aligeuka tabia lakini uzuri mimi sikuwa na nia ya ile kitu ndo pona yangu.
 
Mbona mimi nilisaidia sana dada mmoja mpaka akagraduate, nilikuwanakesha ili nimmfanyie mambo ili afaulu. Ni kweli baadaye aligeuka tabia lakini uzuri mimi sikuwa na nia ya ile kitu ndo pona yangu.

hukumtamani labda ila nadhani ulikuwa unachapa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…