CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
utumwa wa tumboSikukuu ya watumwa hii
Utakuwa una ugwadu?Igweeeeeeeee.....!!!!!
Ikiwa kesho ndio mwisho wa mwezi wa nne (April) sijasikia tetesi zozote kuhusiana na sherehe hizi... Je hakuna maadhimisho tena au Antenna yangu ndio iko analogy???
Zilishapita siku hizo (gone are the days), siku ambazo wafanyakazi kote nchini walikua wakiisubuiria May Day kwa matumaini makubwa ya kuboreshewa maslahi yao na mazingira mazuri ya kaziNothing new
Basi kesho tufikishiriki vizuri.Tumeshapata nguo za sikukuu!
Subiri neema ndugu...kesho ni siku yetu wafanyakazi.Tunasubir hadith za watumishi hewa kama kawa!!
Rekebisha kiswahili chako usifanane na cha SIZONJE [emoji196]Zikiwa zimebaki saa chache kufikia siku kuu yetu wafanyakazi (mei mosi) tumejiandaaje kuboresha utendaji wetu kwa ajiri ya mwaka ujao na maendeleo yetu na taifa kwa ujumla.