Sasa faida ya hili jambo ni nini!??Kuna Wajinga wachache wanaosapoti ubinafsishwaji wa bandari, but hawajui kuwa Kuna effect kubwa Sana itawapata wafanyabiashara wanaotumia bandari ku export na ku import mizigo yao,
Bandari ikibinafsishwa hakutokuwa na misamaha ya Kodi Kama tulivozoea, Ndugu zetu wa karikaoo na wafanyabiashara wote waliozoea kukwepa Kodi lazima wakione chamoyo, pia Kuna uwezekano Kodi za kutoa mizigo badarini zikaongezeka Mara dufu
Sio hivyo tu pia Wafanyakazi wa bandarini wako hatarini Sana kupoteza ajira zao....
Serikalii pamoja na viongozi wachache watafaidika,Sasa faida ya hili jambo ni nini!??
Na mwisho wa siku anayekoma zaidi kuliko wote ni mlaji wa mwisho wa hizo bidhaa zitakazoingizwa nchini kupitia bandari hiyo. Kodi zote atakazopigwa mfanyabiashara zitafidiwa kwenye bei ya bidhaa husika!Serikalii pamoja na viongozi wachache watafaidika,
Ila wafanyabiashara hasa wanaotumia bandari kuimport na ku export bidhaa watakuwa affected sana
Hasa hasa hapo kwenye haya ya mwisho hapo...Kuna Wajinga wachache wanaosapoti ubinafsishwaji wa bandari, but hawajui kuwa Kuna effect kubwa Sana itawapata wafanyabiashara wanaotumia bandari ku export na ku import mizigo yao,
Bandari ikibinafsishwa hakutokuwa na misamaha ya Kodi Kama tulivozoea, Ndugu zetu wa karikaoo na wafanyabiashara wote waliozoea kukwepa Kodi lazima wakione chamoyo, pia Kuna uwezekano Kodi za kutoa mizigo badarini zikaongezeka Mara dufu
Sio hivyo tu pia Wafanyakazi wa bandarini wako hatarini Sana kupoteza ajira zao....
Kama mnapinga sababu ya hizo point basi nibupuuzi wabinafsishe haraka sana.Kuna Wajinga wachache wanaosapoti ubinafsishwaji wa bandari, but hawajui kuwa Kuna effect kubwa Sana itawapata wafanyabiashara wanaotumia bandari ku export na ku import mizigo yao,
Bandari ikibinafsishwa hakutokuwa na misamaha ya Kodi Kama tulivozoea, Ndugu zetu wa karikaoo na wafanyabiashara wote waliozoea kukwepa Kodi lazima wakione chamoyo, pia Kuna uwezekano Kodi za kutoa mizigo badarini zikaongezeka Mara dufu
Sio hivyo tu pia Wafanyakazi wa bandarini wako hatarini Sana kupoteza ajira zao....
Wewe sio mtumiaji wa bandari, Kaa kimyaKama mnapinga sababu ya hizo point basi nibupuuzi wabinafsishe haraka sana.
Mnapinga kelele kumbe mmezoea vya bure na loopholes..!
Kila nikiwaza inakuwaje hivi sipati majibu yaan.Tuna watawala waliojaa kiburi, tamaa na ulafi wa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana, kiasi cha kuwafanya watumwa wa pesa na kuwatia ukichaa na upofu, kiasi cha kupoteza uwezo wa kufikiri maamuzi wanayoyafanya leo.
Ndio mkuu, ma jeans ya Vunjabei, tutauziwa elfu 90[emoji16]Na mwisho wa siku anayekoma zaidi kuliko wote ni mlaji wa mwisho wa hizo bidhaa zitakazoingizwa nchini kupitia bandari hiyo. Kodi zote atakazopigwa mfanyabiashara zitafidiwa kwenye bei ya bidhaa husika!