"... na usomi huu wa karne hii..."Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!...
Hauridhishi kabisa, ni kama anatekeleza kwa uzuri msemo wake wa kula kwa urefu wa kamba zao, yake ni kama ule msshale tulikuwa tunachora kwenye hesabu, hauna mwisho! Unachota mpaka ufie hapo hapo kama nzi kwenye kidondaNdio ndio!
Tafakuri!
"Wakati wanajeshi wetu wanamwaga damu mpakani kizalendo kulinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Hizo hela huwa wanamlipa nani?Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa
Wanatenda mambo kama wameelekezwa na shetani.Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!...
Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.
China walimpa kikwete Uprofessa kabisa wakalamba bandari ya bagamoyoBado naendelea kuchunguza ni Raisi wa nchi Gani huko ulaya aliyeweza kupewa PhD tatu ndani ya miaka miwili. Kama sivyo why wa kwetu ndio wanapendelewa hivyo?