Tume ya uchaguzi yarudisha B 12.

Tume ya uchaguzi yarudisha B 12.

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,359
Tume ya uchaguzi kurudisha B.12 ilihali ilikua inawalipa fedha kidogo wahusika ni halali kwa wao kusifiwa au tuwasifie waliokubali kufanya zoezi lile kwa malipo kidogo kuonyedha uzalendo?
 
Uwe unapitia jukwaa kabla ya kuanzisha post mpya. Hii kitu ipo hapa jamvini toka jana na imeshachangiwa sana tu.
 
Tume ya uchaguzi kurudisha B.12 ilihali ilikua inawalipa fedha kidogo wahusika ni halali kwa wao kusifiwa au tuwasifie waliokubali kufanya zoezi lile kwa malipo kidogo kuonyedha uzalendo?
Lubuva na uzee wake wote ni mnafiki. It is a pity alifanyaje ujaji miaka yote kwa mtu wa hali hii! Mzee wangu unahangaika na nini, una miaka mingapi ya kuishi duniani at this age. Ni muda wa kuwa mkweli kuitafuta "mbingu" na siyo ya dunia tena.
 
Back
Top Bottom