Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Waanze na Mahera
Kwani pesa zako zitatumika?Kuongeza gharama tu
Mahera ndiye tatizo na adui number 1 wa Taifa.Mahera hataki brabra
Kampeni meneja wa jiweIla wasimtoe "baba" wa demokrasia bwana Mahera.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hela ipi- mkopo wa riba nafuu?View attachment 2183424
- Kuajiri watumishi wake hadi ngazi ya Wilaya, kata
- Sasa rasmi kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa
- Mapendekezo ya muundo wake yasubiri wadau
Aibu yake machoni hadi rohoni.Kampeni meneja wa jiwe
Mabadiliko haya ni long overdue, yalitakiwa yafanywe 1995View attachment 2183424
- Kuajiri watumishi wake hadi ngazi ya Wilaya, kata
- Sasa rasmi kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa
- Mapendekezo ya muundo wake yasubiri wadau
View attachment 2183476
Tuliambiwa jeshi la polisi lita fumuliwa lakini hadi leo kimya.. Tuka ambiwa MSD ita fumuliwa lakini kimya... Siasa za Tz ni issue za cheupe chekundu. Ramli tupuView attachment 2183424
- Kuajiri watumishi wake hadi ngazi ya Wilaya, kata
- Sasa rasmi kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa
- Mapendekezo ya muundo wake yasubiri wadau
View attachment 2183476
Kwasababu ya upumbavu wako hujui gharama sio kitu mbele ya amani. Tume ya taifa inge au itasababisha vita siku moja gharama sio kitu.Kuongeza gharama tu