Tume ya taifa ya uchaguzi kemeeni hili

Tume ya taifa ya uchaguzi kemeeni hili

Imani Minja

Member
Joined
Nov 13, 2007
Posts
21
Reaction score
10
Leo Tarehe 28/09/2015 Nimeshuhudia jambo ambalo nila kushangaza na kuhuzunisha sana hasa katika kipindi hiki ambacho Tume ya Uchaguzi na wasimamizi wengine wa uchaguzi wakiwepo polisi wanatakiwa kutenda sawa kwa wagombea wote.

Toka asubuhi wakati Mgombea wa CCM Dr. Magufuli anatako hotelini Saivila iliyopo maeeneo ya Gangilongo magaria yamekuwa yakisimamishwa kwa muda mrefu kupisha msafara wa mgombea huyo kupita.

Jambo hili limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa bara bara ukizingatia kwamba huyu ni mgombea kama wagombea wengine na hana haki kisheria na kiutaratibu kupewa heshima na ulinzi kama anaoendelea kupata.

Hivyo nashauri Polisi itende haki kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo. Tume kemeeni hili hara iwezekanavyo ili muweze kujenge imani miongoni mwa wapiga kura na watanzania wote kwa ujumla.
 
Wanamkomoa Msigwa... na mbaya zaid barabara ya kutokea ni moja tu
 
atii huyo ndo tiyari kisha shinda anangojea kuapishwa. Mambo mengine ni kukosa muelekeo tuu
 
Mbona hata kwa yule wa ACT ni hivyo hivyo???Tulisimamishwa na polisi na kukemewa kwa nini hatumpishi mgombea.Tukashangaa tu.Hivyo nadhani kuna wanaolindwa ambao ni first Citizen na wasiotakiwa kuwepo duniani ambao nio second citizen aka members wa CDM
 
Leo Tarehe 28/09/2015 Nimeshuhudia jambo ambalo nila kushangaza na kuhuzunisha sana hasa katika kipindi hiki ambacho Tume ya Uchaguzi na wasimamizi wengine wa uchaguzi wakiwepo polisi wanatakiwa kutenda sawa kwa wagombea wote.

Toka asubuhi wakati Mgombea wa CCM Dr. Magufuli anatako hotelini Saivila iliyopo maeeneo ya Gangilongo magaria yamekuwa yakisimamishwa kwa muda mrefu kupisha msafara wa mgombea huyo kupita.

Jambo hili limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa bara bara ukizingatia kwamba huyu ni mgombea kama wagombea wengine na hana haki kisheria na kiutaratibu kupewa heshima na ulinzi kama anaoendelea kupata.

Hivyo nashauri Polisi itende haki kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo. Tume kemeeni hili hara iwezekanavyo ili muweze kujenge imani miongoni mwa wapiga kura na watanzania wote kwa ujumla.

Waendelee tu kuwakera wananchi ili wananchi hao wafanye maamuzi sahihi Oktoba 25.
 
Watu Mbeya ni mashujaa....wanachopenda ndicho hicho.....huu ni ujasiri wa ajabu ktk siasa. Nimeupenda, nimewapenda watu wa Mbeya
 
polis kwa uchaguzi wa mwaka huuhuenda ikawa ndo chanzo cha uvunjifu wa amani.
 
Back
Top Bottom