mkuu mi nimesubir mpaka nimeamua kurudi bushi kuendelea na mishe nyingine! nadhani tuendelee kuwa na subira tu maana kuna nyingine za kada ya chini wametoa inawezekana wakaita pamoja! ajira za siku hizi ni za kusubiri its a long journey we believe watakuwa fair coz its justice place they can be shown credibility