tume ya katiba kuingia mwanza agosti.

Cartoons

Senior Member
Jul 16, 2012
122
38
kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mkuu wa wilaya ya nyamagana,mwanza bw.baraka konisaga ni kwamba tume ya katiba itaingia mwanza mwezi wa 8 mwaka huu.

Wana-mwanza jiandaeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…