Ndugu zangu salaam,
Kwanza nitoe pole kwa sisi wote tulioomba kazi kupitia matangazo ya tume ya ajira tangu mwaka jana mwanzoni.
Ni jambo la kushanga sana kwa taasisi hii ya ajira vitengo vyote kutangaza kazi halafu wasiweke wazi ni namna gani wanapata hao wafanyakazi.
Kwani wanaitaje wasailiwa kwenye usaili jamani??
Kama kuna mlioitwa ebu nipeni namna ya wanaovyoita. Najua wanatangaza kwenye tovuti yao lakini ni wangapi mlioakwisha wahi kuitwa ata kwenda kuhudhuria hizo saili!!
Habari nilizozipata ni kwamba, tume hii iliundwa kwa maslahi ya wachache ya kwamba wangekuwa wanalipwa hela na wale wanaotaka wafanyakazi ili kutangaza hizo kazi, kutangaza kuitwa kwenye usaili na hatimaye kuajiri; je mchakato huu utaenda kihalali kweli ndugu zanguni??
Sasa kilichofichuka ni kwamba hizo taasisi hazina hela za kuwapa tume ya ajira kwa sababu hawana budget kwa ajili ya fungu hilo.
Hebu jiulizeni jamani, utoe hela mfuko huu uweke mfuko wa pili au unatoa hela mfuko wa kulia unaweka mfuko wa kushoto hii inaleta maantiki kweli!!!
Sasa habari zakuaminika ni kwamba hawapati hela kama wlivyptarajia na ndo maana hawaiti watu kwenye usaili kwa sababu hawawezi kukaa bure kusaili watu bila mshiko, wamekalia kufikiri posho tu siyo maslahi ya taifa, sasa taasisi zilizotaka wafanyakazi hawajapata na taifa linazidi kwenda mrama kwa kukosa wafanyakazi mahiri kama sisi tulioko nyumbani tunalea watoto bila ajira.
Hebu naomba mnipe ushauri au muwape ushauri Serikali yetu kwamba tunakokwenda utakuta taasisi moja ina kabila moja kuanzia mhudumu hadi mkurugenzi kama Luhanjo alivyofanya TANAPA na TASAF. Kaweka wakurugenzi wa kwao we unategemea kupata ajira hapo kweli.
Tuangalie sana ndugu zanguni ukabila unaletwa na hawa wajamaa waliokaa kwnye viti huko juu, ukienda tasaf sasa hivi utakuta madriver wa darasa la saba ukiuliza ni ndugu wa fulani na yule ni ndugu wa yule ilimradi wawekane wale wenyewe ata kama mtu hana sifa.
Niishie hapa nanyi mchangie jamani hali ni mbaya.