katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Wadau wa jf hamjamboo?
Mimi ninao muda wa kumweka mtu sawa iwapo anakukera wewe unaniambia tu namchamba .
Awe Ke Me anayekukera unasema sababu basi namchamba
Wakati ukifika mtameet tu slow downNaomba umchambe Asprin manake kila nikimuomba aonane na mimi hataki
Wakati ukifika mtameet tu slow down
Khaaaa....! Kwahiyo siku zote huwa naonana na pacha wako? Basi mmefanana sana
SijakuelewaNaomba uuchambe katoto kazuri.
Huyu mshikaji ana mambo ya kiwaki sana.
Ikiweza apewe asikilize wimbo wa Chibu - Kanyaga.
Umefanyaje??Hebu Aza Na Mimi Tuone Kama Kweli Unaweza Kuchamba.
Mimi Ni Kula Kulala Hadi Umri Huu Miaka 35 Sasa.Umefanyaje??
Siwezi kumchamba mtu kwa namna hiyo namchambo wangu sio wa namna hiyo .Mimi Ni Kula Kulala Hadi Umri Huu Miaka 35 Sasa.
Kama una demu kakuboa tutamchamba tu kama mtu kakunyima uhuru tuachamba tuNini dhumuni la uzi huu,,
Kweli umenikera sana Katoto Kabaya
Sawa katoto kazuriiiiKama una demu kakuboa tutamchamba tu kama mtu kakunyima uhuru tuachamba tu
Umenipata??Sawa katoto kazuriiii