Habarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma sana kwa muda wa Dk 10 had 15 Ivi ndio Hali inatulia naombeni Msaada wenu wa kitaabibu jamani
Na Badala Ya Kutibiwa Utafanyiwa Majaribio.
AiseeHabarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma sana kwa muda wa Dk 10 had 15 Ivi ndio Hali inatulia naombeni Msaada wenu wa kitaabibu jamani
Habarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma sana kwa muda wa Dk 10 had 15 Ivi ndio Hali inatulia naombeni Msaada wenu wa kitaabibu jamani
Badilosha style shoga akeee....pendelea kifo Cha mende, inaonekana Shem kajaaliwa anasokonyoa huko ndan hasa dog style na wewe kuikalia.....jaribu kifo Cha mende utakuja kunishukuru baadaeHabarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma sana kwa muda wa Dk 10 had 15 Ivi ndio Hali inatulia naombeni Msaada wenu wa kitaabibu jamani
Tatizo ni ana vitu vingi in common na wanawake.Hili tatizo likiwa kwa Me tatizo ni nn?