Tumalize utata kwenye kampuni zinazouza electronic Kariakoo (Tanzania)

Sasa mkuu tutakimbilia wapi? Maana hata ukainunua mbeya ujue imetoka Kariakoo
 
Nina Panasonic flat TV inches 50 pamoja na home theater ya Panasonic pia toka 2012 hazijawahi guswa na fundi . Nikitaka kufanya upgrade ntaendelea kuwa team Panasonic tu.
 
Mkuu ivi hisense nao wao TV zao zimeshachakachuliwa?? Juzi nimeenda madukani ili ninunue inch 32 ila bei yake ilivyoshuka na utofauti wa duka na duka niliogopa...... Duka moja smart 330,000 na normal 310,0000. Kuna duka jingine nikakuta bei ya mwisho ni 350,000. Ilibidi nirudi na hela home
 

Barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…