Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Unajuwa kuna vitu vingine haviitaji PHD kuvijua.Watu mnaongelea mkwamo wa Zanzibar?
Kama Meya wa JiJi mnapigwa danadana zanzibar itatolewa kwa mlango gani?
Halafu wasomi wetu wanajifanya kutuletea maigizo na ukweli wanaujua.We mtu kakunyima kidogo"Jiji"Kikubwa atakupa je?
Acha hii movie iendelee stelingi tutamujua tu.