That,s grate.Maana huwezi kuwa na chuo kisichona waalimu wa kutosha. Cna uhakika watu wa open university kama wanafanya hili zoezi ila kwa experience yangu ndogo tu vyuo vingi vinajitahidi saana kusomesha waalimu wao.Japo ni wachache maana hawawezi kwenda wote kwa wakati mmoja,wanaenda kwa zamu na wengine wanabaki wakifundisha.