Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,265
- 14,511
Bora kufa na tumaini kuliko kuishi pasipo muelekeo.Upo sawa ila pia unaweza pata changamoto mpka unakufa hazijatatuka na ukafa na maneno ya faraja tu
Kanye ulale!Usjifariji Bure chukua hatua hama Kwa shemej
Ubora wake upo wapi?Bora kufa na tumaini kuliko kuishi pasipo muelekeo.
Ha ha h kwanini mkulungwa?Utengenezewe na jukwaa lako kabisa, "Tafakari za mjusi"
Umekuwa mtu wa busara na misemoHa ha h kwanini mkulungwa?
Huwezi kuona kwa macho ya nyama, ni lazima uwe mtu wa tafakari na macho ya kiroho!Ubora wake upo wapi?
Umejuaje?Huwezi kuona kwa macho ya nyama, ni lazima uwe mtu wa tafakari na macho ya kiroho!
Lakini bado bwashee anakuwa mgumu kuelewa!Umekuwa mtu wa busara na misemo
Hao atheist ni watu wa practical zaidiLakini bado bwashee anakuwa mgumu kuelewa!
Ndani ya tafakari, pia nimetambua wewe ni mtu usiyependa kutafakali mambo kwa jicho la pili.Umejuaje?
Ndio maana yeye kila kitu ni kukaza fuvu tu.Hao atheist ni watu wa practical zaidi
Jicho la pili nilipi?Ndani ya tafakari, pia nimetambua wewe ni mtu usiyependa kutafakali mambo kwa jicho la pili.
Bwashee usiniambie hata majibu ya hayo maswali yako umeshindwa kutafakari!Jicho la pili nilipi?
Na tafakari ni ipi.
Mpaka nimeuliza kama una akili timamu ungeshapaswa kutambua nimeshindwa, haujaona alama ya kuuliza????Bwashee usiniambie hata majibu ya hayo maswali yako umeshindwa kutafakari!
Nimekuelewa ila nimeshindwa kung'amua unakwama wapi, kiasi kwamba nahisi tunapimana badala ya kujadili mambo ya msingi.Mpaka nimeuliza kama una akili timamu ungeshapaswa kutambua nimeshindwa, haujaona alama ya kuuliza????