salimsalim
Member
- Jul 21, 2016
- 9
- 4
Kama unataka kufahamu lolote kuhusu hiki chuo nipo taari kukufahamisha , karibu sana
Hivi nacho ni chuo kikuu? Mie nikajua bado ni certificate. Wahadhiri 88% ni bachelors holder, ni mojawapo ya vyuo vinavyotakiwa kufungiwa KWA kutokidhi viwangoKama unataka kufahamu lolote kuhusu hiki chuo nipo taari kukufahamisha , karibu sana
Hivi nacho ni chuo kikuu? Mie nikajua bado ni certificate. Wahadhiri 88% ni bachelors holder, ni mojawapo ya vyuo vinavyotakiwa kufungiwa KWA kutokidhi viwango
Unapopasema nilipita miaka9 iliyopita, kiukweli nenda one day pale utajionea, sio kuwa naongea from know where napafaham vizuri palivyo, wahadhiri n.k ila ukweli utabaki pale pale hakina hadhi ya kuitwa universityfirst year wa UDSM utamjua tu
From know where = from no whereUnapopasema nilipita miaka9 iliyopita, kiukweli nenda one day pale utajionea, sio kuwa naongea from know where napafaham vizuri palivyo, wahadhiri n.k ila ukweli utabaki pale pale hakina hadhi ya kuitwa university