Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Afisa habari ya chadema makao makuu Be Tumaini Makene amesema kuwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema ni mmiliki halali wa jengo la makao makuu.
Akieleza Kiongozi huyo wa makao makuu amesema " chadema ni mmiliki halali wa makao makuu yake chini ya Baraza la Wadhamini hizo habari zinazozagaa mzipuuze".
Akionyesha hati ya jengo hilo Afisa habari huyo ambayo imeandikwa mmiliki wa Jengo hilo ni CHADEMA na huku akisisitiza watu wapuuzie propaganda hizo ambazo zinapanga kuwaada wanachama na watanzania kwa ujumla.
Hii imetokana na uzushi kusambaa kuwa mmliki wa jengo hilo la ufipa amekipa siku 14 chama hicho kuhama kwenye jengo hilo sababu ya kushindwa kulipa kodi ya pango.