Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 847
- 1,613
Ratiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inaonesha kuwa leo Agosti 4, 2025 ni siku ya Mikutano Mikuu ya Kata/Wadi na Jimbo kupiga Kura za maoni za Wagombea wa Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani wa Kata/Wadi upande wa Zanzibar na Tanzania Bara.
Hiyo inamaanisha Wajumbe waanza mchakato wa kuwachagua wawakilishi wao, Je, kiongozi unayemtegemea atatoboa kwa Wajumbe?
Hiyo inamaanisha Wajumbe waanza mchakato wa kuwachagua wawakilishi wao, Je, kiongozi unayemtegemea atatoboa kwa Wajumbe?