Tuliwahi kuishi dodoma end of 80's Na 90's mnakumbuka nini?

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Je nk disco sound?au paradise cinema?rerwe club?disco Toto dodoma inn airport?

VP wale wababe wa mjini?mpira VP team zetu za Dundee?Waziri mkuu?viwanja vya barafu..kinyonga street mji Mpya?

Au tuition kikanya..mlimwa pale?daaa I miss those days...

Karibu
 
Nyerere Square ya sasa ndo ilikuwa Soko kuu kipindi kile
 
Back
Top Bottom