Tulivyojengwa JKT 1970


Eng Omar Nundu.
Nimeupenda sana ushairi wako kwa umepangilia vizuri sana vina na kutenda haki kubwa kwa mizani na hivyo shairi kubeba ujumbe mzito sana na kutuburudisha wasomaji na wapenzi wa mashairi.

Allah akubariki sana.

Huko danger Coy (D Coy) kulikuwa na Mazani huko na akina mwambingu na kisahani.

Mimi nilipita hapo Ruvu JKT mwaka 1980 na nilikuwa A Coy (ya Stuke Sir major).

Hongera Muheshimiwa.
 
dah....!! ase umenigusa ruvu ndo kambi yangu
AH 3570 SM SYLVESTER PIUS KAKANI
832 KJ RUVU JKT
OP MIAKA 50 JKT
Jun 2013-Sep 2013
KWA MUJIBU WA SHERIA
D COY

Nadhani hiyo ni miezi 3 na siku kadhaa!!! Anyway, jambo la msingi ulipita JKT. Tuko pamoja kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…