iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Hiyo mimba itakuwa imeingia kwa njia ya Bluetooth! Inaonekana mliacha simu zenu Bluetooth on, badala ya kuswitch of kwanza kabla ya tendo!
kuna msichana mmoja nimetembea nae mara moja tu baada ya miezi miwili anadai ana mimba yangu.Kinachonichanganya ni kwamba tumetumia kinga kinga hiyo mimba imetoka wapi?
Hapo inatakiwa pesa tu. Mpe mwambie katoe hiyo mimba. Usijali ataitumia kwa issue gani.
We Si uli-flashiwa ??
We Si uli-flashiwa ??