Lazima na anayekupa ajue kuwa anakupa, la sivyo ni wizi.Huamini katika miujiza ya mwenyezi Mungu.. Kuiba lazima kuwe na process ya planning .
Hujaiba ila umepewa
Kupewa ni lazima upewe kwa ridhaa ya mtoaji akiwa na akili timamu,huo ni wizi kama wizi mwingine tu,Huamini katika miujiza ya mwenyezi Mungu.. Kuiba lazima kuwe na process ya planning .
Hujaiba ila umepewa
Huamini katika miujiza ya mwenyezi Mungu.. Kuiba lazima kuwe na process ya planning .
Hujaiba ila umepewa
Hahaha aiseNilikuta nimeekewa laki 9 kwenye account yangu ya bank nikaicha week 2 bila kuigusa nilivyoona bado ipo nikaanza kutoa kidogo kidogo labda ni commission yangu ya mteja wao kwa muda mrefu siwezi jua.
Kuna wale walokota DODO baada kuokotwa toka JALALANI hadi UWAZIRI WA MAMBO YA NJE
Akina nani hao[emoji38][emoji38]?Kuna wale walokota DODO baada kuokotwa toka JALALANI hadi UWAZIRI WA MAMBO YA NJE