Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,817
- 32,196
Hapans hiyo yako itakuwa ngumu sana embu tujuze ahahahahaCCTV Camera chawa mbaya sana, ushawahi fanya kazi kila angle kuna CCTV mpaka chooni? Na computer zimewekwa kwenye mfumo yaan kila unachofanya wanakuona,
Nmewahi fanya sio kawaida, huna Uhuru anytime unafukuzwa kazi wakicheck CCTV ukaonekana unafanya ujinga wako mda wa kazi huna kaziHapans hiyo yako itakuwa ngumu sana embu tujuze ahahahaha
Mm nitaleta yangu ngoja umem urudi ilikuwa tabora2014
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nmewahi fanya sio kawaida, huna Uhuru anytime unafukuzwa kazi wakicheck CCTV ukaonekana unafanya ujinga wako mda wa kazi huna kazi
Chineseofisi za wahindi izo bila shaka huwa hawataki kukuona ukipumzika mda wa kazi
Chinese
Hawana Mambo ya kubembeleza yaan faster tu you're out,Oho pole hao hawa pendi kubembelezana kabisa
Hawana Mambo ya kubembeleza yaan faster tu you're out,
Hawa wachina wakamiaji sana nawaona wakandarasi wanavopata shida kusimamia project za kichina😀😀 hakuna Cha jumapili Wala nn show showChinese
Hio ilikuwa china nini🤣 maana bongo hamna ishu ya namna hioNmewahi fanya sio kawaida, huna Uhuru anytime unafukuzwa kazi wakicheck CCTV ukaonekana unafanya ujinga wako mda wa kazi huna kazi
Ndio hivyo mkuu,Hio ilikuwa china nini🤣 maana bongo hamna ishu ya namna hio
Kwann ufanye ujinga sasa muda wa kaziNmewahi fanya sio kawaida, huna Uhuru anytime unafukuzwa kazi wakicheck CCTV ukaonekana unafanya ujinga wako mda wa kazi huna kazi
Na wanavyoongea sasa si saawaaa 😄Hawana Mambo ya kubembeleza yaan faster tu you're out,
Za jioni poleni na uchovu wa kazi
Kama kichwa cha habari hapo kinajieleeza hii inahusu kufukuzwa kazi kisa chawa wa boss au mchepuko wa boss au mke wa boss
Yaani upo ofisini kuna kuwa na mchepuko wake au mkewe au chawa wake
Yangu mimi hilikuwa hivi kuna mteja walikuwa wanatukanana na mfanyakazi mwezangu kosa lilikuwa lao wote lakini pale offisin palikuwa na chawa yule chawa akarekodi lile tukio akamtumia boss
Baadae boss akatuma kwenye group ile voice note na kutoa kauli kuwa walio sikika kwenye hiyo voice note kesho sitaki kuwaona offisin akamtaja mtu aandae barua za kufukuzwa kazi
Mimi sikuhusika hila nilienda chemba kuchat na mtu tukizungumzia lile swala maana ouna wengine waliingilia ugomvi basi nisijue yule ndio chawa halisi aka screenshoot zile sms akamtumia boss nisijue na amka asubuhi sijawasha data nafika ofisini watu wananishangaa umekuja uku wananiuliza umekuja kuomba msamaha
Nilishutka kidog nikauliza walijibu ingia group kuingia kwenye group nikakuta zile text zangu zote yule jamaa yeye alikuwa amefuta Zile alizokuwa anamponda boss ndio ulikuwa mwisho wangu wa kufanya kazi pale posta nilimchukia sana yule jamaaa
Wewe kwako ipoje?
Kuna ile kujisahau free internet kila mtu anapewa GB za kutosha free wifi ila hauruhusiwi kuingia kwenye social media yoyote hata YouTube huruhusiwi kuingia bila ruhusa kutoka supervisor au leader wako, sasa ukijichanga ikaingia Twitter mda wa kazi, unajiweka kwenye wakati mbaya na ukimaliza kazi unakua umechoka sana, sasa wabongo wengi mseleleko anataka atumie free internet kwa matumizi mengine tofauti na alivyopangiwa km kupakua movie na ujinga mwingine wakikugundua huna kazi au mwingine anataka ashinde YouTube tu so free internetKwann ufanye ujinga sasa muda wa kazi
Ufukuzwe kisa umeingia mtandaoni kwa dk kadhaa wtfKuna ile kujisahau free internet kila mtu anapewa GB za kutosha free wifi ila hauruhusiwi kuingia kwenye social media yoyote hata YouTube huruhusiwi kuingia bila ruhusa kutoka supervisor au leader wako, sasa ukijichanga ikaingia Twitter mda wa kazi, unajiweka kwenye wakati mbaya na ukimaliza kazi unakua umechoka sana, sasa wabongo wengi mseleleko anataka atumie free internet kwa matumizi mengine tofauti na alivyopangiwa km kupakua movie na ujinga mwingine wakikugundua huna kazi au mwingine anataka ashinde YouTube tu so free internet