Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
- Thread starter
-
- #21
mkuu unawafahamu vizuri sana hasa huyo Prof wa moja moto moja barid....safi sanaBLS 2010 _ 2013. Nilikuja kuanza BSc nikiwa kazini.tayr. Nilirudi kituoni kwangu baada ya kumaliza BLS. Nawakumbuka sana Dr Hoza nasikia sasa hivi amekuwa mpole sana... dr G Misinzo, Prof Balthazary alikuwa alikuwa academic advisor wangu mpk sasa bado nawasiliana nae na mara kadhaa nakutana naye maeneo ya moja baridi/ moja.
Dr. Max.... Prof Malago simsahau kwa aina ya mitihani aliyokuwa anatunga kila mtu na swali lake...
Msuli wa SUA respect!
2013 mkuu na sasa hivi narudi tena badae mwaka huu Mungu akipendamWAKA GANI MKUU?
CongratsMax ni professor kwa sasa.
Huyu prof.Max katufundisha biochemistry (protein and protein metabolism), kuna wakati unakua huelewi kitu..sababu mambo yanachanganya mno.mkuu unawafahamu vizuri sana hasa huyo Prof wa moja moto moja barid....safi sana
Hahahaaaaaa mkuu prof Mzanila atakuwa aliwabeba coz alikuwa fair kuliko maprof woteHuyu prof.Max katufundisha biochemistry (protein and protein metabolism), kuna wakati unakua huelewi kitu..sababu mambo yanachanganya mno.
Pia! Nakumbuka tulisha piga pepa tano za biochemistry ndani ya masaa matatu. Yaani prof.Balthazar alikuja na pepa yake (Carbohydrate metabolism), Prof. Mutayoba akaja na Enzymes, Dr.Mushi akaja na vitamins, prof.Max akaja na protein and protein metabolism na prof. Mzanila akaja na carbohydrates, fat&Lipids.
Hiyo siku tuliomba poo.
hii department ya biochemistry ni hatari....wale wazee wako Serious sana kuanzi Prof Max, Prof baltazary, Prof mutayoba, Dr Mushi....wapo Serious sana..Huyu prof.Max katufundisha biochemistry (protein and protein metabolism), kuna wakati unakua huelewi kitu..sababu mambo yanachanganya mno.
Pia! Nakumbuka tulisha piga pepa tano za biochemistry ndani ya masaa matatu. Yaani prof.Balthazar alikuja na pepa yake (Carbohydrate metabolism), Prof. Mutayoba akaja na Enzymes, Dr.Mushi akaja na vitamins, prof.Max akaja na protein and protein metabolism na prof. Mzanila akaja na carbohydrates, fat&Lipids.
Hiyo siku tuliomba poo.
Sure! Yule mama alikua anakupa tafsiri halisi ya MAMA.Hahahaaaaaa mkuu prof Mzanila atakuwa aliwabeba coz alikuwa fair kuliko maprof wote
Mm kama vet.Dr sio lazma niajiliweMnakazi ? Au anasubiliwa Rais aruhusu ajira mupya ?
Mhhh. Basi. Nilidhani enzi zetu.2013 mkuu na sasa hivi narudi tena badae mwaka huu Mungu akipenda
Sawa sawa bwana Nyocks [emoji4]Animal science class 2012-2015.
SUA sio sehemu ya mchezo kabisa, kuna jamaa yetu Ali-disco semester
Ya mwisho.
Tulianza watu wengi sana, Baadae wengi walikimbia na wengine wali-disco.
Ajabu ya SUA ni kwamba wengine wadisco, wengine wanaingiza supplementary kibao na wengine hawashikwi toka mwanzo hadi mwisho.
Mkuu, Dr Mushi kawaiga wale wazee. Yeye kama yeye mrembo tu hana shida kama alivyo mke wake. Kuna kozi ya molecular biology Dr Mushi alitufundisha mbona alikuwa poa tu ila kwenye biochemistry anakimbiza anacopy kwa wale madingi. Kwenye oral exam anauliza maswali tricky km Prof Muta hahahaaaahii department ya biochemistry ni hatari....wale wazee wako Serious sana kuanzi Prof Max, Prof baltazary, Prof mutayoba, Dr Mushi....wapo Serious sana..
Hongera tumekufaham na weweEngineering mechanics, fundamentals of electrical engineering, fluid mechanics, waste water management, engineering drawings...
Dr baanda, prof mpanduji, mlengera, prof tarimo daaah long time sana!
SUA + engineering milele!
Shukrani. Nawe pia TUNAKUFAHAMU!Hongera tumekufaham na wewe