Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
wanajamii binafsi nimesoma SUA, faculty of Veterinary Medicine, nimekikumbuka tu chuo bora na Elimu ya pale ilivyokua ngumu....Msuli mnene na practicals ngumu balaa....ila nashukuru Mungu niliweza kumaliza salama...sitawasahau baadhi ya maprof kama Prof baltazar huyu yuko idara ya Biochemistry, Prof Malago idara ya Pathology, Prof Kimaro idara ya Anatomy,na wenginao wengi....kikubwa ninachokumbuka wakati wa karibu na mitihani ya mwisho ya semister kwa faculty yetu ya veterinary medicine hakuna ' study break' kama faculty nyingine.....sisi mwendo wa moto mwanzo mwisho...!!!
ni afisa Mifugo manispaa moja hapa TzNIMEPITA HAPO BSC HORT, KWA SASA NINALIMA MZAO YA MBOGAMBOGA. WEWE UKOWAPI KWA SASA NDUGU?
MWAKA GANI?wanajamii binafsi nimesoma SUA, faculty of Veterinary Medicine, nimekikumbuka tu chuo bora na Elimu ya pale ilivyokua ngumu....Msuli mnene na practicals ngumu balaa....ila nashukuru Mungu niliweza kumaliza salama...sitawasahau baadhi ya maprof kama Prof baltazar huyu yuko idara ya Biochemistry, Prof Malago idara ya Pathology, Prof Kimaro idara ya Anatomy,na wenginao wengi....kikubwa ninachokumbuka wakati wa karibu na mitihani ya mwisho ya semister kwa faculty yetu ya veterinary medicine hakuna ' study break' kama faculty nyingine.....sisi mwendo wa moto mwanzo mwisho...!!!
mWAKA GANI MKUU?Nimepita hapo Bsc Food science and Technology sasa hivi nalima na pia freelance Food processing consultant.
Nimefanya kazi na wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo mikoa ya Kilimanjaro,Dar na Arusha sana
Binafsi nilimaliza 2012 agribusiness .Nilisoma pale Agribusiness mwaka 2012.... Ni manager mstaafu kwa lazima pale Arusha Kilimo Markets tawi la Karatu.....kwasasa npo nmejiajiri kwenye mambo ya IT.
Umenikumbusha pepa za jumapili freedom square. Mi nimepiga B.Sc Agronomy. Nimetoka 2009Ha ha ha ha leo jpl tuko busy tunafanya pepa tutachangia tukitoka jion
Pole sana mkuu...Pepa hapo Jpili kawaida.....mnaweza kupiga hata pepa 2 ... moto mwanzo mwishoHa ha ha ha leo jpl tuko busy tunafanya pepa tutachangia tukitoka jion
Heheheeeee.....safi sanaBinafsi nilimaliza 2012 agribusiness .
Kwasasa huyu prof. Hapatikani sana......Unamkumbuka prof. Martin shemu wa animal science?
Max ni professor kwa sasa.BLS 2010 _ 2013. Nilikuja kuanza BSc nikiwa kazini.tayr. Nilirudi kituoni kwangu baada ya kumaliza BLS. Nawakumbuka sana Dr Hoza nasikia sasa hivi amekuwa mpole sana... dr G Misinzo, Prof Balthazary alikuwa alikuwa academic advisor wangu mpk sasa bado nawasiliana nae na mara kadhaa nakutana naye maeneo ya moja baridi/ moja.
Dr. Max.... Prof Malago simsahau kwa aina ya mitihani aliyokuwa anatunga kila mtu na swali lake...
Msuli wa SUA respect!