Huyo Didas katumbuliwa Mwaka huu kwa Shule yake kuwa ya Mwisho Mwisho Kitaifa huko Kigamboni, Huyu Jamaa ni Mla gongo hataree na Ana asili ya Rwanda Ila kwny Hesabu ni Mzuri Tatizo Gambe
Kuna Hayati Mr. Lukinga Rafiki yangu wa Faida!
Walimu wengi wa Forodhani nilikuwa nakutana nao Maeneo ya Jojiz pale NMB House jion kuchoma Mapafu kwa Konyagi