Tulionunua nyumba za serikali, hatutanyan'ganywa na serikali ya awamu ya tano?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Kwa kasi hii ya kuendesha nchi nina wasiwasi tunaweza kupokwa hizi Nyumba, jamani mlioko jikoni mtujuze
 
Kwa kasi hii ya kuendesha nchi nina wasiwasi tunaweza kupokwa hizi Nyumba, jamani mlioko jikoni mtujuze
Hiyo hamuwezi pokonywa maana na JPM alinunua, Mkapa??? Mawaziri almost wote waliokuwa na nyumba hizo, Alfred Nzowa, Kova , all regional heads in all departments etc, etc, etc, etc, etc, etc Get rest assured mko salama!
 
Kwa kipindi hiki cha mpito mpo salama lakini u salama wenyewe ni wa nguo ya kuazima, au tuseme mmejenga ndani ya TANROAD reserve
 
Hili jipu limemkalia vibaya daktari ukizingatia mganga hajigangi. Kwa maneno mengine; he can't shoot himself on the foot.
 
Magu nae ni jipu Watumishi wanalala nje lakini jamaa aliuza nyumba za serikali na zingine kugawia akina Nifah Mamndenyi FaizaFoxy balaa tupu.


swissme
 
Huwezi kunyang'anywa alieuza ni MALAIKA, hajawahi fanya kosa, wala hata fanya kosa.. relax meen.
 
Back
Top Bottom