Zama hizi ukibaki kushabikia chuo ulchosomea wakati kichwani uko empty. Hakyanani sidhani km utakua na tofauti na aliyesubiri urithi wa viatu mwishowe akatembea peku.
Thnk of whats in ua brain, interview haiangalii umesoma wapi....
UTAISHIA KUMALIZA SORI ZA VIATU UKIZUNGUKA NA VYETI KWNY BAHASHA YA KAKI KUTAFUTA KAZI NA USIPATE. Take care Mkuu!