Habari zenu nilikuwa naomb uxhauri kuwa nimesoma certificate ya IT pale DIT Nina GPA ya 3.4 xax nilikuwa diploma natak nikasomee computer science alafu kingine kuwa mm o'level nilisoma arts..lakin katik matokeo yang xikupat F ila nilikuwa D pamoja na C moja ya kiswahili xax nilikuwa nauliza chuo gan kinaweza kunipokea bro....
Sent using
Jamii Forums mobile app