Tulioamishwa Tarrifs na TANESCO

Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
Mimi Nani ni victim ktk hili,nangojea wataalam waje
 
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
TANESCO HAWANA HUDUMA YA Tarrif Zero! Kwahiyo nazani hamjui mnachokiomba , Mwisho wa siku nazani Tanesco wanaomfumo AUTOMATED kwa mteja aliye kiuka vigezo na masharti!

NAHISI "Kuna baadhi ya huduma huwekwa kama msaada kwa watu maalum, maanake kuna vigezo na mashart"
 
Mm pia nanunua kila mwezi haijalishi unit zipo au la mpaka sasa nina unit zaidi ya 500 za akiba, nina uwezo wa kutumia mwaka mzima bila kununua umeme
 
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.

Lisaidie shirika kimapato!Kujibana kwako unajinyima maendeleo,unajikuta unaficha Pasi,unazima friji muda wote.....
 
Wale ambao tumehamishwa kinguvu na TANESCO kutoka tariff zero kwennda tarrif one tukutane hapa tuambiaane hatua za kuchukua.
tupatie namba yako ya mita tukupe maelezo mazuri kwanini umetolewa Tarrif
asante
 
tupatie namba yako ya mita,
tafadhali unaweza kutoa maoni yako kwenye thread maalum ya TANESCO
 
ndugu mteja, endelea kufurahia huduma za TANESCO bila kujibana
 
Nawasilisha ombi la kuwekwa kwenye Tariff 0 kwakuwa matumizi yangu ni Unit 1.235 kwa siku.
 
tupatie namba yako ya mita tukupe maelezo mazuri kwanini umetolewa Tarrif
asante
Kuna umeme nilinunua wa shs 6,500/=....cjauweka kwenye meter number so wakabadilisha meter ya zaman wakaweka mpya sasa cjui nifanyeje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…