napenda
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 485
- 91
Kama unasoma course ya Diploma in crop production (DCP) mati-u tukutane hapa, pia tuwatie moyo na tuwape mwogozo wanao taka kujoin kipindi kijacho, kwa ufupi kwa mtu aliye soma CGA (certificate in general agriculture) masomo ya DCP ni marketable,tamu na rahisi sana kusoma kwani NTA LEVEL 5 inajirudia ni yaleyale ya CGA hivyo msiogope, watu wanakimbilia DGA ya mwaka mmoja, angalizo, siasa zinabadilika inaweza tokea wizara wasiitambue kama walivyo anza kuwasusa waliomaliza CGA 2010-2013