Tulikotoka

siku hazigandi mzee technologia nayo inabadilika. enzi hizo usumaku unatumika kutunza kumbukumbu

 
hivi maendeleo ya binadamu yatakuja kuwa na mwisho..?
nmeulza hivyo coz naona kila baada ya kitambo fulani mwanadamu anagundua vitu vipya na kuachana na vikukuu.
 
Old is GOLD kiti cha Marimba unakalia mpaka unasahau siku hizi kuna vya Plastiki ukikalia angalia usianguke miguu haikawi kutenguka.
 
Hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ilikua unaizungusha kwa peni halafu unakisia nyimbo unayoipenda iko wapi ndo unaweka,... Duuh hataree
Peni yenyewe ni bik, nakumbuka kuna kanda moja ilitafunwa na redio ,mwanaume nikaifungua nikaanza kuisuka upya mixer kujifungafunga nyuzi. alafu screw zake zilikuwa kama za simu nahisi mafundi simu walipata ujuzi kutoka katika hizi kanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…