GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,445
- 127,596
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.
GENTAMYCINE nyie mnajulikana bana kama ford la mkaa mbili barabarani moja gereji. Tena vibaraka wenu azam nao wamelegea badala mkaze angalau mje juu matokeo yake mnakazwa nyie. Waarabu walishangaa kuona wana mashabiki weusi ugenini wakajiuliza kheee watunisia wamebadilika ngozi
Timu ya simba kwa sasa bado changa.. wale watoto tuendelee
Kuwaamin cha msingi ni kujazia nafasi chache. Naamin itakuwa tishio balaa vuten subira na tuwape support vijana!!
Yanga timu ya magazetini acha waendelee kujifariji!! Ila ndiyo kwa heri!! Huyo mwarabu tulipiga tatu moja taifa na tukaenda kumtolea leap!!..

Hiyo story zilipendwa!!

Mtachafuaje sasa?unampango wa kujamba au?Ndemla, Mkude, Singano Bado Wachanga? Usituzingue Na Wewe UKATUFANYA TUCHAFUE HALI YA HEWA Sasa Hivi. Simba Kuna Tatizo!
Ndemla, Mkude, Singano Bado Wachanga? Usituzingue Na Wewe UKATUFANYA TUCHAFUE HALI YA HEWA Sasa Hivi. Simba Kuna Tatizo!