Awowo Apewe
Member
- Jun 5, 2019
- 72
- 89
Jamani joanahUngeweka list ya unaoprefer awe mmoja wapo ya wala bata ili iwe rahisi kuchagua
Hivi kwanini ulinifanyia vile mpendwa....?Nimefanyaje jamani troublemaker
Hivi kwanini ulinifanyia vile mpendwa....?
Nililala Dom wiki 2 zilizopita. Kiasi flani wamejitahidi maeneo ya kula maisha ingawa huwezi kulinganisha na Dar/Arusha.
Kula maisha mkuu...Chamsingi usikae mbali na PM yako TOTOZ zitakufata tu
Naunga mkono hoja kwa Dar. Arusha pia iko vizurKWENYE mambo ya Goodtimes, daslama haijawah kuwa na mpinzani....AMINI KWAMBA