Tukutane hapa wasanii wa hip hope amabao tumegoma kuswitch nakufanya mziki wa biashara

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,983
45,488
Izi ni baadhi ya Line zangu.

Mwananchi...Sawa anavutwa kwa Sera.../
Siasa Movie la ajabu...Ambaye Staa anakufa kwa Treller.../
SUGU...Huzuni napokumbuka Masela.../
Akina cc daily..Ndio tunasumbuka na Jela.../
Maza ananiambia...
Maisha habari pevu.../
Ndani ya Sayari..Joh Maisha safari ndefu.../
Yenye miba..Na bado maskini angali peku.../
Tutafika lini...Bado ni siri ya mbali kwetu.../
Najua haujajua...Moko na mbili.../
Bafuni..Sabuni inauwa Soko la mwili.../
Sometimes nina Njaa...na Ukoko sili.../
Location...Sina Mapozi nina Photo Mbili.../
Kichwa..Kinauma nikimchek Juma,Sadiki.../
Fanani nabuma..Kisha anakuja vuma Shabiki..../
Najua wengi wanataka...Niwe na dhiki.../
Ila Mungu ndio anafanya...Nistay Jiwe LA Wiki..../
Nahii ni kwa Toz..unaepotoka na Chuo..../
Umezaliwa Uchi...Vp unashoboka na Nguo..../
SwahiliRapMovement
# BestSongWriterAllTime
 
Nyingine hii hapa Line yangu

Binadamu..Wamechechemea na Ongo..../
Leo Hospital Damu Hakuna...
Yakumuongezea Dogo..../
Kiharakati...
Ukiiongelea Bongo..../
Check Mafuns wamelewa....
Ka Wameletewa Gongo...../
Unafanya Halisi...Na Unapewa DisLike..../And Street... Kimbunga Fit... Ana Hit kwa Diss Track..../
Dj Chizi...Now Piss za Kiwaki..../
Check Kafa Mangwea...
Eti ndo Wana Miss Harakati...../
Najituma... Ila bado Navuma Bila Promo..../
Fake Rapper Nyomi...Wanavuma Bila Somo..../
Nikiwa na Hasira...Ni Vitendo Bila Mdomo..../
Ona Mshahara Hakuna....
Kwa Walimu Bila Mgomo..../
Nikk Mbish...Sauti ya Jogoo..../
Street na Rhyme Fit...Bila sauti ya Bow Wow..../
Siasa ina Meng ya Ku Control..../
Baba Levo Diwani na Hana. Hata Cheti cha Form 4..../
 
Yo sifinyi ngumu sana, wanitose kina Tina/

Mwanangu saka pesa, ndo kiboko ya paulina/

Waambie MaDj, Wasinitose mi mazima/

Japo kwenye Show, Wanitaje hata jina/
 
Tatizo hamueleweki mnaimba mada gani unaweza ukaanza vizur kuimba siasa Mara katikati unadiss wasanii wenzako Mara umemsifia dem wako mwshon unaisifia bangi yani mnankvuruga sana kichwa nyie hip hop chipukizi
 
Ni tatizo la kuandika ili upate vina tu, hilo ndio tatizo za rappers wengi wanaojisifu wanaandika 'punchlines', ndio maana nawaheshimu sana rappers wa zamani dizaini ya kina Profesa Jay, kuanzia mwanzo hadi mwisho wa wimbo wanastick kwenye mada, mfano Zali La Mentali mwanzo mwisho anaongelea namna alivyokutana na mtoto wa kishua hadi wanaoana, huwezi kuona mistari ya kuungaunga sijui 'George amerudi bush'
 
umenichekesha sana mkuu, yaani unakuta ngoma ina title nyingine na content ni nyingine
 
Ni tatizo la kuandika ili upate vina tu, hilo ndio tatizo za rappers wengi wanaojisifu wanaandika 'punchlines', ndio maana nawaheshimu sana rappers wa zamani dizaini ya kina Profesa Jay, kuanzia mwanzo hadi mwisho wa wimbo wanastick kwenye mada, mfano Zali La Mentali mwanzo mwisho anaongelea namna alivyokutana na mtoto wa kishua hadi wanaoana, huwezi kuona mistari ya kuungaunga sijui 'George amerudi bush'
 
Hip hop inazungumzia mambo mengi sana katika ubeti au wimbo mzima
Ndio maana hip hop sio uhuni
 
Back
Top Bottom