tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Habari wana jamvi,
Leo si ndio wanaita TBT(throw back thursday) eee...embu tukumbushane enzi zile primary school ile siku ya school baraza mambo yaliyokua yanajiri shuleni kwenu,
Kwetu sisi ilikua ndio siku ya kujua nani yuko kwenye kitabu cheusi hhahaha (nilikua nakiogopa sana) hahah,ni siku ambayo kama una makosa yanatajwa pale na fimbo za hatari unapata..
Karibuni