Bururu JF-Expert Member May 21, 2016 877 584 May 22, 2016 #1 Kutenguliwa kwa kitwanga inatukumbusha Babu wa kikombe vs Dr Ulimboka? Au Katiba vs Dengu?
Gilbert A Massawe JF-Expert Member May 14, 2015 5,007 4,080 May 22, 2016 #2 Fisadi lowassa kukatwa na kukimbilia kwa mama wa kambo
Bururu JF-Expert Member May 21, 2016 877 584 May 22, 2016 Thread starter #4 USSR said: Lowasa kujinyea hadharani Click to expand... Una ushahidi?
Mpunilevel JF-Expert Member Sep 14, 2015 3,140 1,871 May 22, 2016 #7 Bururu said: Una ushahidi? Click to expand... Ushahidi wa nn?