Ndekwakwise
Member
- Mar 22, 2010
- 49
- 3
Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa
Linea Messina Maskani Magomeni Fundikila Uwanja wa mazoezi Shule ya msingi Turiani..... K'ndoni wapi na wapi?
Usikurupuke...
Faru Dume ni ya Manzese.
Sio lazima kila thread ubandike utumbo tu.
Misifa!
Mwenzio kasema Faru, wewe unasema Faru Dume.
Bai ze wei, hata Manzese ni wilaya ya Kinondoni.
We mkulima hiyo Faru ndio Faru dume...
Ni kama kaifupisha tu.
sawa na kuisikia timu inaitwa Messina, lakini jina lake ni Linea Messina au wengine huiita villa lakini jina kamili ni Villa squad.
Haya futa mimate hiyo kisha urudi jukwaa la mapishi, kule ndo kunakufaa.
hahahahahahaABAJALO:
1. Gutierez
2. Gang Chomba
3. Tusker bariidi
wapi Mfede baby luis,Kayoza roger moore kuna kipindi Gor Mahia walitaka kumsajili alipokimbia yanga,Kalimangonga Ongala,Pius Athnas kiberenge,Matokeo Lukojoe,Ally Midada,Baba Dimu,George Saga,George Ngasongwa,Kiada Man,Abdul China,Ally Mayayi Tembele,Habib Kibaden,Modest,Adam White,Mabere Marando,Abeche,Adeba nk Gang Chomba wamalizie nakumbuak mechi moja vs Friends Rangers pale Mwananyamala Athuman Machupa aliwafunga Abajalo bao zuri Friends walikuwa na Shekhan Rashid mcmanamann kiungo,Bernabas Sekelo na Noel Pompi kipa na baunsa wao Henry,Abajalo nao Damme Ayoub Nkobolo acha tu hapo zamani hapo zamani mambo mengi yalikuwa shwari kinyume na sasa kinyume na sasa mambo mengi yamebadilika,kuna National ya Tandale,Swazi International Francis Chirwa mwananyamala kwa mama zakaria karibia na uwanja wa shule ya msingi mwananyamala b a.k.a lucky ranger stadium.ABAJALO:
1. Gutierez
2. Gang Chomba
3. Tusker bariidi
wapi Mfede baby luis,Kayoza roger moore kuna kipindi Gor Mahia walitaka kumsajili alipokimbia yanga,Kalimangonga Ongala,Pius Athnas kiberenge,Matokeo Lukojoe,Ally Midada,Baba Dimu,George Saga,George Ngasongwa,Kiada Man,Abdul China,Ally Mayayi Tembele,Habib Kibaden,Modest,Adam White,Mabere Marando,Abeche,Adeba nk Gang Chomba wamalizie nakumbuak mechi moja vs Friends Rangers pale Mwananyamala Athuman Machupa aliwafunga Abajalo bao zuri Friends walikuwa na Shekhan Rashid mcmanamann kiungo,Bernabas Sekelo na Noel Pompi kipa na baunsa wao Henry,Abajalo nao Damme Ayoub Nkobolo acha tu hapo zamani hapo zamani mambo mengi yalikuwa shwari kinyume na sasa kinyume na sasa mambo mengi yamebadilika,kuna National ya Tandale,Swazi International Francis Chirwa mwananyamala kwa mama zakaria karibia na uwanja wa shule ya msingi mwananyamala b a.k.a lucky ranger stadium.
Usikurupuke...
Faru Dume ni ya Manzese.
Sio lazima kila thread ubandike utumbo tu.
Kama aliyepost aliziona ktk ligi kanda ya kinondoni uwanja wa msasani magunia nadhani si sahihi kusema amekurupuka!unasemaje gang chomba?
Kama aliyepost aliziona ktk ligi kanda ya kinondoni uwanja wa msasani magunia nadhani si sahihi kusema amekurupuka!unasemaje gang chomba?
Naona wewe ndio unakurupuka, MC tily chizenga ametoa uwezekano wa mtoa mada kuwa hajakurupuka, ila kwa akili yako ya kuumbuana unataka tu umuone mdau amekurupuka.
Kakurupuka...
Hapa nimepiga mstari japo ni siasa ila ni habari sio nzuri kuwa jimbo la Catalan linataka kujitenga na Spain sasa,kiasi ukosefu wa ajira umezidi Catalan na hata uhasama wa soka Real Madrid na FC Barcelona kuhusu wachezaji La Furia Roja japo Del Bosque sasa najitahidi kuweka usawa ktk kupanga listi inakuwa half half kidogo,Catalan(Catalonia Catalunya)wanabeba mabango kuwa wao ni jimbo tegemezi sasa ulaya(Catalan is the next independent state in Europe)na kunauwezekano jimbo la Basque lenye miji maarufu eg ya Bilbao na San Sebastian nalo kujitenga,sina mengi sana zaidi ya hayo!Mkuu nimekusoma lakini fahamu kuwa hata Barca ni ya Spain lakini ni Catalan, Juventus ni ya Italy lakini Toino, Milan ni ya Italy lakini jiji la Milan barabara ya Turati,
So hata kama aliiona Abajalo katika mashindano ya ujirani mwema Tegeta ni lazima afahamu kuwa Abajalo ni ya Sinza, lazima ufahamu Boom na ashanti ni za Ilala, ingawaje Ilala ni wilaya kubwa na ina maeneo mengine ambapo pia kuna timu kwa mfano Napoli ya Buguruni.
Sijui umenisoma kaka?
Wapo ila hawakurupuki...
Ngoja nifanye assumption kuwa chizi kaiba nguo zangu wakati naoga, simkimbizi.